Kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20 Kilichoitwa Kambini September 2025

Kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20 Kilichoitwa Kambini September 2025

Kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20 (Tanzanite) kimetangazwa rasmi kuingia kambini kuanzia Septemba 15, 2025, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Angola.

Kocha mkuu Bakari Shime ametaja wachezaji 30 watakaoungana kambini. Kikosi hiki kimejaa vipaji vikubwa, wakiwemo mastaa wanaotamba katika vilabu vikubwa vya ligi ya wanawake Tanzania kama JKT Queens, Bunda Queens, Yanga Princess, Simba Queens, Masjuaa Queens, Tausi Queens, na pia wapo wanaocheza nje ya nchi kama Hasnat Ubamba (Al Masry, Misri).

Hawa Apa wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20

  1. Nusrat Hamis (JKU Queens)
  2. Mariam Shaban (Bunda Queens)
  3. Zulfa Makau (JKT Queens)
  4. Lidya Maxi (JKT Queens)
  5. Sarah Joel (JKT Queens)
  6. Manka Richard (JKU Queens)
  7. Diana Mnalyo (Yanga Princess)
  8. Neema Damas (JKT Queens)
  9. Melikia Wiliam (JKU Queens)
  10. Ester Maseke (JKT Queens)
  11. Winfrida Casto (JKT Queens)
  12. Masika King (Mashujaa Queens)
  13. Naomi Charles (JKT Queens)
  14. Veronica Mapunda (Yanga Princess)
  15. Zawadi Hamisi (Simba Queens)
  16. Furaha Kifaru (JKT Queens)
  17. Winfrida Gerald (JKT Queens)
  18. Bahati Steven (Bunda Queens)
  19. Hellena Mtendaji (JKU Queens)
  20. Jamila Celestine (Bunda Queens)
  21. Alliya Fikiri (JKT Queens)
  22. Winfrida Charles (JKU Queens)
  23. Asha Omary (Simba Queens)
  24. Hasnat Ubamba (Al Masry, Misri)
  25. Mary Siyame (JKU Queens)
  26. Christer Basil (JKT Queens)
  27. Jamila Rajab (JKT Queens)
  28. Yasinta Mitoga (JKU Queens)
  29. Rehema Abdul (Mashujaa Queens)
  30. Yasinta Gerald (Tausi Queens)

Kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20 Kilichoitwa Kambini September 2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026
  2. Ratiba ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
  3. Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
  4. Simba yamtambulisha Wilson Nangu
  5. Bayer Leverkusen Yamtimua Ten Hag Baada ya Mechi Tatu Tu
  6. Hizi Apa Picha za Jezi mpya za Simba 2025/2026
  7. Tarehe za Mechi za Simba VS Yanga 2025/2026: Ratiba ya Dabi ya Kariakoo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo