Mechi ya Kirafiki ya Singida Black Stars Vs Yanga Leo 24/03/2025 Saa Ngapi

Mechi ya Kirafiki ya Singida Black Stars Vs Yanga Leo Saa Ngapi

Mechi ya Kirafiki ya Singida Black Stars Vs Yanga Leo 24/03/2025 Saa Ngapi

Kikosi cha Yanga kimesafiri kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya wenyeji Singida Black Stars. Mechi hii inatarajiwa kuchezwa leo Machi 24, 2025, katika Uwanja wa Singida Black Stars AIRTEL STADIUM, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi rasmi wa uwanja huo mpya.

Mechi ya Kirafiki ya Singida Black Stars Vs Yanga Leo 24/03/2025 Saa Ngapi

Wakati na Mahali pa Mchezo

Mchezo huu wa kirafiki utapigwa leo Machi 24, 2025, kuanzia saa 10:00 jioni katika uwanja wa kisasa wa Singida Black Stars AIRTEL STADIUM. Hii ni fursa muhimu kwa mashabiki wa soka kushuhudia burudani ya hali ya juu kutoka kwa timu hizi mbili zenye ushindani mkubwa kwenye soka la Tanzania.

Mechi hii ni ya kipekee kwa kuwa inafanyika kwa lengo maalum la kuzindua uwanja mpya wa Singida Black Stars. Hii ni hatua kubwa kwa timu hiyo ya Singida, kwani inapata fursa ya kuonyesha maendeleo yake kwa mashabiki wa nyumbani na pia kukaribisha miamba wa soka, Yanga SC, katika ardhi yao.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Thiago Motta Atumbuliwa Juventus, Igor Tudor Atangizwa Kocha Mpya
  2. Gomez Aanza Kuingia Kwenye Mfumo wa Wydad Baada ya Mapambano ya Awali
  3. Ibrahima Konate Ndani ya Rada za PSG
  4. Refa ‘Nuksi’ Achaguliwa Kuchezesha Mechi ya Taifa Stars Dhidi ya Morocco
  5. Mashujaa FC Chini ya Salum Mayanga: Kila Mchezaji Ana Jukumu la Kufunga
  6. Mzimbabwe Achukua Mikoba Tabora SC Baada ya Kuondoka kwa Mkongomani
  7. Ratiba ya Mechi za Ligi ya Championship Leo 22 Machi 2025
  8. Ratiba ya Robo Fainali Caf Confederation Cup 2024/2025
  9. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025
  10. Samatta Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Februari PAOK
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo