Msimamo wa Ligi Kuu ya U17 Tanzania 2024

Msimamo wa Ligi Kuu ya U17 Tanzania 2024: Ligi Kuu ya vijana chini ya miaka 17 Tanzania, maarufu kama Ligi Kuu ya U17 Tanzania, ya mwaka 2024 imekuwa chimbuko la nyota wapya wa soka nchini. Vijana kutoka pande mbalimbali za nchi wanatumia fursa hii kuonyesha vipaji vyao vya kusakata kabumbu. Ligi hii inawaleta pamoja wanasoka chipukizi kutoka pembe zote za Tanzania, na mwaka huu pia, imeendelea kuwa jukwaa la kuibua na kuendeleza vipaji vya soka nchini.

Msimamo wa Ligi Kuu ya U17 Tanzania 2024

SNTEAMGPWDLGFGAGDPTS
1AZAM FC1310303052533
2YOUNG AFRICANS SC1382328131526
3JKT TANZANIA FC138141712525
4SIMBA SC137332982124
5IHEFU FC136341711621
6KARUME YOUTH CENTER135621716121
7COASTAL UNION FC1355323111220
8TDS U17135532116520
9KMC FC135261817117
10TANZANIA PRISONS FC134451720-316
11GEITA FC134361824-615
12SINGIDA FOUNTAIN GATE FC132291230-188
13TABORA UTD131391037-276
14MTIBWA FC130013340-370

Msimamo wa Ligi Kuu ya U17 Tanzania 2024

Maelezo

GP: Mechi zilizochezwa
W: Kushinda
D: Sare
L: Kupoteza
GF: Magoli Kufunga
GA: Magoli Kufungwa
GD: Tofauti ya Magoli
P: Pointi

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 EPL Standings
  2. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2024/2025
  3. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24
  4. Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025
  5. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League
  6. Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2023/2024 PBZ Premier League Table
  7. Msimamo Makundi ya EURO 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo