Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 16/04/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 16/04/2026

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo, Alhamisi ya tarehe 16 Aprili 2026, kwa mechi mbili muhimu ambazo zitatoa nafasi kwa timu kuwania pointi muhimu katika msimu wa NBC Premier League 2025/2026. Mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia ushindani mkali katika viwanja viwili tofauti, ambapo Mashujaa FC watakipiga na Singida BS, huku Young Africans wakivaana na Mbeya City.

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 16/04/2026 inaonyesha kwamba michezo hii itaanza saa tofauti, hivyo mashabiki wanaweza kufuatilia kila mchezo kwa wakati wake bila kuchanganyikiwa. Hii ni siku nyingine muhimu kwa wapenzi wa soka nchini, hasa kwa wale wanaotaka kujua moja kwa moja mechi gani zipo kwenye kalenda ya leo.

Ratiba ya mechi za leo 16/04/2026

1. Mashujaa FC vs Singida BS

  • Tarehe: 16 Aprili 2026
  • Muda: Saa 4:00 usiku
  • Uwanja: Lake Tanganyika Stadium, Kigoma
  • Mashindano: NBC Premier League 2025/2026

2. Young Africans vs Mbeya City

  • Tarehe: 16 Aprili 2026
  • Muda: Saa 6:30 usiku
  • Uwanja: KMC Complex, DSM
  • Mashindano: NBC Premier League 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 16/04/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Fountain Gate vs Simba Leo 15/04/2026
  2. Droo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
  3. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026
  4. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo