Mabadiliko ya Uwanja: Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Kuchezwa Zanzibar
Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank Federation Cup) sasa itachezwa katika uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati Mkoani Manyara.
Umuazi huo umefanywa na Kamati ya Utendaji ya TFF baada ya baadhi ya miundombinu muhimu mjini Babati kutokuwa tayari kwa ajili ya fainali hiyo pamoja na sababu za kiusalama.
Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa Juni 2, 2024 saa 2:15 usiku.
Editor’s Picks:
Weka Komenti