Jinsi ya Kujua Kama Namba Ya NIDA Ipo Tayari 2024 | Kujua kama Namba Ya NIDA Imetoka
NIDA, au Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, ni taasisi muhimu inayohusika na usajili na utambuzi wa raia na wakazi wa Tanzania. Moja ya huduma muhimu za mamlaka hii ni utoaji wa Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) pamoja na vitambulisho vya Taifa. Namba NIDA ni ufunguo wa kufungua milango mingi ya fursa na huduma mbalimbali nchini.
Safari ya kupata namba ya NIDA huanzia kwenye ujazaji wa fomu ya NIDA ambayo hupatikana kwenye ofisi za NIDA na mtandaoni. Baada ya kujaza fomu hizi kikamilifu zinatakiwa kukusanywa katika ofisi za NIDA ambapo sasa muombaji wa kitamblisho cha NIDA anapaswa kusubili ombi lake lifanyiwe kazi. Kama wewe umemaliza kutuma maombi ya usajili wa kitambulisho cha NIDA na sasa ungependa kujua kama namba yako ya NIDA ipo tayari basi fuata muongozo hapa chini.
Jinsi ya Kujua Kama Namba Ya NIDA Ipo Tayari 2024
- Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja Na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666.
- Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), bofya neno Kitambulisho cha Taifa ikifuatiwa na neno Fahamu NIN kisha fuata maelekezo au fungua link – https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx
- Unaweza kutuma ombi lako https://demo.emalalamiko.egatest.go.tz/complaint ili kuangaliziwa moja kwa moja kwenye mfumo wa Usajili na Utambuzi wa Watu.
- Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA katika Wilaya iliyo karibu nawe.
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Jinsi ya Kuangalia Namba ya NIDA Online 2024
- Jinsi Ya Kupata Namba Ya NIDA Kwa Simu 2024
- Jinsi Ya Kuangalia Deni La Gari 2024 (TMS Traffic Check)
- Jinsi ya Kukopa Salio Airtel (Menu Ya Kukopa Salio Airtel)
- Jinsi Ya Kuangalia Namba Ya Simu Airtel, Vodacom, TTCL, Tigo & Halotel
- Jinsi Ya Kuangalia Usajili Wa Namba ya Simu
- Jinsi Ya Kuangalia Salio La Vifurushi Airtel 2024
- Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes 2024
Weka Komenti