Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025 | Orodha ya Wachezaji wa Tanzania Prisons 2024/2025
Tanzania Prisons Sports Club, moja ya vilabu vikongwe katika soka la Tanzania ambavyo vimekua vikipambana vikali kutunza heshima yake katika ulimwengu wa soka Tanzania. Tanzania Prisons ni timu inayotoka mkoani Mbeya na inatumia Uwanja wa Sokoine kama uwanja wake wa nyumbani. Ligi Kuu ya Tanzania ni moja ya ligi ngumu zaidi barani Afrika, na msimu huu, Tanzania Prisons imejizatiti na kikosi kipya chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kulisakata kabumbu na wanatarajiwa kufanya vizuri.
Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025
Namba ya Jezi | Jina la Mchezaji |
40 | Mussa Mbisa |
17 | Samson Mbangula |
2 | Ezekia Mwashilindi |
8 | Mussa Haji |
12 | Samson Mwajituka |
21 | Michael Mpesa |
18 | Meshack Mwamita |
28 | Nurdin Chona |
29 | Vedastus Mwihambi |
27 | Harun Chanongo |
30 | Zabona Mayombya |
11 | Ismail Ally |
49 | Osca Mwajanga |
14 | Salum Kimenya |
16 | Berno Ngassa |
25 | Benedicto Jacob |
44 | Joah James |
42 | Ally Msengi |
49 | Wema Sadoki |
50 | Edward Mwakiyusa |
60 | Kelvin Sengati |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti