Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025 | Orodha ya Wachezaji wa Fountain Gate FC 2024/2025
Fountain Gate FC ni moja ya klabu za mpira wa miguu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024/2025. Klabu hii, iliyokua inajulikana awali kama Singida Big Stars, imeendelea kujipambanua kama klabu kubwa katika mpira wa miguu nchini Tanzania. Ilianzishwa mwaka 2010 kama timu ya wafanyakazi wa Diamond Trust Bank (DTB) kabla ya kubadilishwa jina kuwa Singida Big Stars mwaka 2022 na hatimaye kuwa Fountain Gate FC mwaka 2024.
Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025
Hapa chini ni kikosi rasmi cha Fountain Gate FC kwa msimu wa 2024/2025, ambacho kinajumuisha wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, ambao watapamba wakiwa na jezi ya Fountain Gate katika kampeni ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC.
Namba ya Mchezaji | Jina la Mchezaji |
24 | Seleman Bakari |
4 | Laurian Makame |
3 | Amos Kadikilo |
7 | Dickson Ambundo |
8 | Kassim Suleiman |
10 | Salum Kihimbwa |
13 | Abdallah Kulandana |
11 | William Edger |
60 | Seleman Mwalimu |
19 | Anack Mtambi |
25 | Yesaya Mwawenda |
1 | Noble John |
6 | Shafik Batambuze |
23 | Aron Lulambo |
16 | Elie Mokono |
17 | Hashimu Omary |
27 | Joram Mgeveke |
31 | Zam Elias |
29 | Nocholas Gyan |
53 | Enrick Vitars |
22 | Sadick Ramadhani |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti