Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025 | Matokeo ya NBC Premier league 2024/2025
Baada ya kusubiliwa kwa muda, Hatimaye michuano ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025 inakaribia kutimua vumbi rasmi Agosti 16 ambapo mashabiki wataanza msimu mpya kwa kushuhudia mtanange baina ya Pamba jiji na Tanzania Prisons utakao chezeka katika dimba la CCM kirumba Mwanza. Michezo mingine ya ligi itaendelea tarehe 17 ambapo Mashujaa Fc watacheza na Dodoma jiji uku Namungo watacheza dhidi ya Fountain Gate. Agosti 18, wekundu wa msimbazi simba wataoneshana ubabe na Tabora United wakati kengold Fc wakikichapa dhidi ya Singida Bs. Hapa tutakuletea Matokeo Ya mechi zote za Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025
Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025
Tarehe | Nyumbani | Matokeo | Ugenini | Mda | Uwanja |
August 16, 2024 | Pamba Jiji | VS | Tanzania Prisons | 16:00 | CCM Kirumba |
August 17, 2024 | Mashujaa FC | VS | Dodoma Jiji | 16:00 | Lake Tanganyika |
August 17, 2024 | Namungo FC | VS | Fountain Gate | 19:00 | Majaliwa Stadium |
August 18, 2024 | KenGold FC | VS | Singida BS | 14:00 | Sokoine Stadium |
August 18, 2024 | Simba SC | VS | Tabora United | 16:15 | KMC Complex |
August 28, 2024 | JKT Tanzania | VS | Azam FC | 16:00 | Mej. Jen. Isamuhyo |
August 29, 2024 | KMC FC | VS | Coastal Union | 16:00 | KMC Complex |
August 29, 2024 | Kagera Sugar | VS | Young Africans | 19:00 | Kaitaba Stadium |
August 23, 2024 | Mashujaa FC | VS | Tanzania Prisons | 16:00 | Lake Tanganyika |
August 24, 2024 | Pamba Jiji | VS | Dodoma Jiji | 16:00 | CCM Kirumba |
August 24, 2024 | Kagera Sugar | VS | Singida BS | 19:00 | Kaitaba Stadium |
August 25, 2024 | Simba SC | VS | Fountain Gate | 16:00 | KMC Complex |
August 25, 2024 | Namungo FC | VS | Tabora United | 19:00 | Majaliwa Stadium |
September 25, 2024 | JKT Tanzania | VS | Coastal union | 14:00 | Mej. Jen. Isamuhyo |
September 25, 2024 | KenGold FC | VS | Young Africans | 16:15 | Sokoine Stadium |
September 26, 2024 | KMC FC | VS | Azam FC | 16:00 | KMC Complex |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
- Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
- Mshindi wa MVP Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2023/2024 Amepatikana
- Orodha ya Makocha Timu za Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
- Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/2024
Weka Komenti