Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 30/12/2025
Mechi za hatua ya makundi ya michuano ya AFCON 2025 zinaelekea tamati, huku mataifa mbalimbali barani Afrika yakiendelea kuwania pointi muhimu katika mbio za kusonga mbele. Leo, tarehe 30 Desemba 2025, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia michezo kadhaa yenye ushindani mkubwa, ambapo timu zinatafuta matokeo chanya ili kujiweka katika nafasi nzuri kabla ya hatua ya mtoano.
Mechi za AFCON Leo 30/12/2025
Kwa mujibu wa ratiba rasmi, leo kunachezwa jumla ya mechi nne katika makundi tofauti, zikiwa zimepangwa katika nyakati mbili tofauti.
| Tarehe | Muda | Mechi |
|---|---|---|
| Leo 30/12/2025 | 19:00 | Uganda vs Nigeria |
| Leo 30/12/2025 | 19:00 | Tanzania vs Tunisia |
| Leo 30/12/2025 | 22:00 | Botswana vs DR Congo |
| Leo 30/12/2025 | 22:00 | Benin vs Senegal |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Msimamo wa Kundi C La Tanzania AFCON 2025
- Kikosi cha Tanzania Taifa Stars vs Uganda Leo 27/12/2025
- Matokeo ya Uganda Vs Tanzania Taifa Stars Leo 27/12/2025
- Uganda vs Tanzania Taifa Stars Leo 27/12/2025 Saa Ngapi?
- Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 27/12/2025
- Msimamo wa Makundi AFCON 2025
- Bao la Dakika za Mwisho la Patson Daka Lainusuru Zambia Dhidi ya Mali, Mechi Ikiisha 1-1








Leave a Reply