RATIBA ya Mechi za Leo 29 August 2024
Leo tarehe 29 Agosti 2024, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi kadhaa zinazotarajiwa kuchezwa katika viwanja mbalimbali duniani. Kwa wale wanaofuatilia ligi za ndani na za kimataifa, leo ni siku muhimu kwani timu mbalimbali zitakuwa uwanjani kupigania ushindi. Hapa chini ni ratiba ya baadhi ya mechi zitakazochezwa leo:
Ligi Kuu Tanzania Bara
16:00 – KMC vs Coastal Union: Viwanja vya nyumbani vya KMC vinatarajia kuwa na shamrashamra za mashabiki wa timu zote mbili, huku KMC wakisaka alama muhimu dhidi ya Coastal Union.
17:00 – Kagera Sugar vs Young Africans: Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, hasa kutokana na rekodi nzuri ya Young Africans katika ligi kuu. Kagera Sugar watakuwa na kibarua kigumu kukabiliana na mabingwa hao watetezi.
Klabu Bingwa Ulaya (UEFA Europa League – Play-offs)
- APOEL vs RFS – 18:00
- Elfsborg vs Molde – 18:00
- Petrocub vs Ludogorets – 18:00
- Ajax vs Jagiellonia – 19:00
- Anderlecht vs Dinamo Minsk – 19:00
- Beşiktaş vs Lugano – 19:00
- FCSB vs LASK – 19:30
- Hearts vs Plzeň – 19:45
- Borac BB vs Ferencváros – 20:00
- Rapid vs Braga – 20:00
- Shamrock vs PAOK – 20:00
- TSC vs Maccabi TA – 20:00
UEFA Conference League – Play-offs
- Astana vs Brann – 15:00
- HJK vs KÍ – 17:00
- Zira vs Omonia – 17:00
- Ružomberok vs Noah – 17:30
- Olimpija vs Rijeka – 18:00
- Pafos vs CFR – 18:00
- Paks vs Ml. Boleslav – 18:00
- Trabzonspor vs St.Gallen – 18:00
- TNS vs Panevėžys – 18:30
- Cercle Brugge vs Wisła – 19:00
- Drita vs Legia – 19:00
- Kilmarnock vs København – 19:00
- Panathinaikos vs Lens – 19:00
- UE St. Coloma vs Víkingur R – 19:00
- Zrinjski vs Vitória SC – 19:00
- Celje vs Pyunik – 19:15
- Maribor vs Djurgården – 19:15
- Heidenheim vs Häcken – 19:30
- Servette vs Chelsea – 19:30
- Larne vs Red Imps – 20:00
- Puskás vs Fiorentina – 20:00
- Betis vs Kryvbas KR – 20:00
Internationals – Friendlies
- Jordan vs Korea DPR – 17:00
Spanish La Liga
- Girona vs Osasuna – 18:00
- Las Palmas vs Real Madrid – 20:30
Saudi League
- Riyadh vs Al Kholood – 16:55
- Ittihad vs Taawoun – 19:00
- Khaleej vs Shabab – 19:00
- US Major League Soccer
Mapendekezo ya Mhariri:
- Nyota Wawili Yanga Kuikosa Kagera Sugar
- Mabadiliko ya Ratiba Mechi ya Kagera Sugar vs Yanga
- JKT Tanzania na Azam FC Wagawana Pointi Mchezo wa Kwanza wa Ligi
- Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
- Timu zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025
- Mukwala na Aucho Waitwa Kwenye Kikosi cha Uganda Cranes Cha Afcon
- Klabu ya Singida Black Star Yamtambulisha Rasmi Victorien Adebayor
Weka Komenti