Vituo Vya Kukata Tiketi Mechi ya Yanga Vs CBE 21/09/2024
Mabingwa watetezi na wawakilishi pekee wa bendera ya Tanzania katika michuano ya klabu bingwa Afrika 2024/2025 Yanga Sc watakutana na CBE SA ya ethiopia katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Amani tarehe 21 septemba 2024. Mchezo huu unatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa haswa kutokana na kiwango cha timu zote mbili. Licha ya Yanga Sc kua na uongozi wa goli moja ambalo walilipata katika mchezo wa kwanza uliofanyika Ethiopia, CBE SA walionesha kiwango bora na tutarajie lolote linaweza kutokea kama wakiwenya kufanya maboresho madogo hasa katika safu ya ushambuliaji.
Kama wewe ni shabiki wa mpira mzuri na ungependa kushuhudia mchezo huu live dimbani Amani, basi hatua ya kwanza unayotakiwa kuchukua ni kukata tiketi ya kutazama mchezo huu kwenye moja ya vituo vifuatavyo,
- Young Africans – Jangwani
- Uwanja Wa Amaan, Znz (Amaan Stadium, Zanzibar)
- Zff – Zanzibar
- Ttcl – Kijangwani, Znz
- Vunja Bei – Michenzani Mall
- Uwanja Wa Amaan Kwa Harith
- Mwinyi Mwanakwerekwe – Car Wash
Mapendekezo ya Mhariri:
- Mbappe Aanza na Goli Mechi ya Kwanza UEFA Akiwa na Madrid
- Fei Toto Atamani Bato Lake na Aziz Ki liendelee
- Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa CHAN 2024 – Fainali Kuanza Februari
- Nkata Ataja Sababu 4 za Kagera Sugar Kuanza Ligi Kuu Vibaya
- Mambo Hadharani, Kilichomuondoa Kocha KenGold Chafichuka
- Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 2024
Weka Komenti