Wafungaji Bora CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024
Wakati vilabu mbalimbali vinapigania nafasi ya kubeba ubingwa wa CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024, nyota kutoka klabu hizo wamekua wakitoa juhudi za hali ya juu kutia magoli. Michuano hii inaonekana kuwa na ushindani mkubwa, huku wachezaji wakijitahidi sana kuipa klabu zao ubingwa na vilevile kuweka majina yao kwenye historia kwa kushinda tuzo ya mfungaji bora.
Wafungaji Bora CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024
Baada ya michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali, wafuatao ndio wafungaji bora wa CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024
TIMU | JINA | MAGOLI |
Al Hilal | Mohamed Abdelrahman Yousif | 5 |
Al Hilal | Adama Coulibaly | 3 |
Al Hilal | Salah Eldin Adil | 1 |
Red Arrows | Anthony Shipanuka | 1 |
Red Arrows | James Chamanga | 1 |
Al Wadi | Chima Ramadhan | 1 |
Al Wadi | Ahmed Esmat | 1 |
Al Wadi | Ahmed Mohamed Zidan | 1 |
Al Wadi | Monir Bahar | 1 |
APR FC | Mbaoma Chukwuemeka | 1 |
APR FC | Mamadou Sy | 1 |
APR FC | Dushimimana Oliver | 1 |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti