Kikosi Cha Simba Vs Al Adalah FC Leo (29/07/2024)- Mechi ya Kirafiki

Kikosi Cha Simba Vs Al Adalah FC Leo (29/07/2024) | Kikosi Cha Simba Dhidi ya Al Adalah FC Leo – Mechi ya Kirafiki

Simba leo itakutana na Al Adalah FC katika mchezo wa tatu wa kirafiki kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/2025. Mchezo huu umepangwa kuchezeka majira ya saa moja usiku katika uwanja wa New Suez Canal Misri.

Katika michezo miwili ya kirafiki ambayo wekundu wa msimbazi wameshiriki wakiwa katika kambi yao ya maandalizi nchini misri, wameweza kushinda michezo yote uku katika mchezo wa kwanza dhidi ya El-Qanah waliibuka na ushindi wa goli 3-0 na mchezo dhidi ya Telecom Egypt ambao ulimalizika kwa Simba Sc kushinda 2-1.

Mchezo wa leo dhidi ya Al Adalah FC unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa zaidi kulinganishwa na michezo miwili ya kwanza kutokana na Al Adalah FC kua ni timu yenye wacezaji wenye viwango bora licha ya kua wanashiriki katika ligi daraja la kwanza Saudi Arabia. Katika mmchezo huu, Simba sc inatarajiwa kuendeleza rekodi yake ya kuto kufungwa hivyo tunatarajia kuona kocha wa Simba Faldu David.

Kikosi Cha Simba Vs Al Adalah FC Leo (29/07/2024)- Mechi ya Kirafiki

Kikosi Rasmi Rasmi Cha Simba Dhidi ya Al Adalah leo

  • 1 SALIM
  • 12 KAPOMBE
  • 15 HUSSEIN
  • 2 CHAMOU
  • 20 CHE MALONE
  • 19 MZAMIRU
  • 16 BALUA
  • 6 NGOMA
  • 11 MUKWALA
  • 10 AHOUA
  • 7 MUTALE

SUBS: OKEJEPHA, MASHAKA, AWESU, KIJILI, HUSSEIN, KAMETA, FREDDY.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo Simba Vs Telecom Egypt leo 28/07/2024 – Mechi ya Kirafiki
  2. Kikosi cha Simba Vs Telecom Egypt leo 28/07/2024 – Mechi ya Kirafiki
  3. Hizi Apa Picha Za Jezi Mpya Ya Yanga Sc 2024/2025
  4. Yanga Kucheza na Red Arrows Siku ya Yanga Day 2024
  5. Breaking: Ally Kamwe Ajiuzulu Usemaji Yanga SC – Hii apa Sababu
  6. Aziz Ki Atawazwa Mchezaji Bora Fainali Toyota Cup 2024
  7. Yanga Sc Wabeba Kombe la Toyota Cup 2024
  8. Matokeo ya Kaizer chiefs Vs Yanga Leo 28/07/2024 – Toyota Cup
  9. Kikosi Cha Yanga Vs Kaizer Chiefs 28 July 2024 – Toyota Cup
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo