Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024

Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024 | Matokeo Mechi Zote Za UEFA EURO 2024/2025

Michuano ya soka barani Ulaya, Euro 2024, imepamba moto nchini Ujerumani! Hii ni mara ya 17 kwa mashindano haya kufanyika, ambapo mataifa bingwa 24 ya soka barani Ulaya, wakiwemo mabingwa wa Euro 2020, Italia, Uingereza, Ufaransa, Ureno na wenyeji Ujerumani, wanachuana vikali kuwania taji la ubingwa wa bara. Mashindano haya yameanza rasmi tarehe 14 Juni na yatatimua vumbi hadi 14 Julai, jumla ya mechi 51 zitachezwa, na hapa Habariforum.com tunakuletea matokeo ya kila mechi, kila bao na kila tukio la kusisimua.

Kila mechi ya Euro 2024 ina mvuto na msisimko wake! Je, mabingwa watetezi Italia wataendeleza ubabe wao? Ufaransa na kikosi chao cha mastaa watahamishia hasira za kukosa kombe la Dunia kwenye EURO 2024? Ujerumani watautumia vyema uwanja wa nyumbani? Ureno na Cristiano Ronaldo watafika mbali kiasi gani? Maswali haya na mengine mengi yatajibiwa uwanjani, na sisi tupo hapa kukujuza kila kinachojiri katika kila hatua ya EURO 2024 kuanzania makundi hadi fainali.

Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024

Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024

Matokeo Ya EURO Ijumaa 14/06/2024

  • Germany 5 – 1 Scotland (Wafungaji wa Magoli GER: Florian Wirtz 10′, Jamal Musiala 19′, Kai Havertz 45’+1 pen, Niclas Füllkrug 68′, Emre Can 90’+3; Wafungaji wa Magoli SCO: Antonio Rüdiger 87′ og)

Matokeo Ya Euro Jumamosi 15/06/2024

  • Hungary 1 – 3 Switzerland (Wafungaji wa Magoli HUN: Barnabás Varga 66′; Wafungaji wa Magoli SUI: Kwadwo Duah 12′, Michael Aebischer 45′, Breel Embolo 90’+3)
  • Spain 3 – 0 Croatia  (Wafungaji wa Magoli ESP: Álvaro Morata 29′, Fabián Ruiz 32′, Dani Carvajal 45’+2)
  • Italy 2 – 1 Albania  (Wafungaji wa Magoli ITA: Alessandro Bastoni 11′, Nicolo Barella 16′; Wafungaji wa Magoli ALB: Nedim Bajrami 1′)

Matokeo Ya Euro Jumapili 16/06/2024

  • Poland 1 – 2 Netherlands (Wafungaji wa Magoli POL: Adam Buksa 16′; Wafungaji wa Magoli NED: Cody Gakpo 29′, Wout Weghorst 83′)
  • Slovenia 1 – 1 Denmark (Wafungaji wa Magoli SLO: Erik Janza 77′; Wafungaji wa Magoli DEN: Christian Eriksen 17′)
  • Serbia 0 – 1 England (Wafungaji wa Magoli ENG: Bellingham 13′)

Matokeo Ya Euro Jumatatu 17/06/2024

  • Romania 3 – 0 Ukraine (Wafungaji wa Magoli ROU: Nicolae Stanciu 29′, Razvan Marin 53′, Denis Dragus 57′)
  • Belgium 0 – 1 Slovakia  (Mfungaji wa goli SLO: Ivan Schran 7′)
  • Austria 0 – 1 France (FRA: Maximilian Wober 38′ (OG))

Matokeo Ya Euro Jumanne 18/06/2024

  • Türkiye 3 – 1 Georgia (TUR: Mert Muldur 25′, Arda Guler 65′, Muhammed Kerem Akturkoglu 90+7′; GEO: Georges Mikautadze 32′)
  • Portugal 2 – 1 Czechia (Wafungaji wa Magoli POR: Robin Hranac 69′ (OG), Francisco Conceicao 90+2′; Wafungaji wa Magoli CZE: Lukas Provod 62′)

Matokeo Ya Euro Jumatano 19/06/2024

  • Croatia2 – 2Albania
  • Germany2 – 0Hungary
  • Scotland1 – 1Switzerland

Matokeo Ya Euro Alhamisi 20/06/2024

  • Slovenia 1 – 1 Serbia
  • Denmark 1 – 1 England
  • Spain 1 – 0 Italy

Ijumaa 21/06/2024

  • Slovakia1 – 2Ukraine
  • Poland1 – 3Austria
  • Netherlands0 – 0France

Matokeo Ya Euro Saturday 22/06/2024

  • Georgia 1 – 1 Czechia
  • Türkiye 0 – 3 Portugal
  • Belgium 2 – 0 Romania

Matokeo Ya Euro Jumapili 23/06/2024

  • Switzerland 1 – 1 Germany
  • Scotland 0 – 1 Hungary

Matokeo Ya Euro Jumatatu 24/06/2024

  • Croatia1 – 1Italy
  • Albania0 – 1Spain

Matokeo Ya Euro Jumanne 25/06/2024

  • Netherlands2 – 3Austria
  • France1 – 1Poland
  • England0 – 0Slovenia
  • Denmark0 – 0Serbia

Matokeo Ya Euro Jumatano 26/06/2024

  • Slovakia 1 – 1 Romania
  • Ukraine 0 – 0 Belgium
  • Czechia 1 – 2 Türkiye
  • Georgia 2 – 0 Portugal

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Msimamo Makundi ya EURO 2024
  2. Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi
  3. Kikosi cha Ureno kitakachoshiriki Euro 2024
  4. Tetesi za Usajili Real Madrid 2024/2025
  5. Timu Inayoongoza kwa Magoli Ligi Kuu Ya NBC 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo