Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora | Hii apa Ratiba ya 16 Bora EURO 2024
Baada ya mashabiki wa soka duniani kote kushuhudia vilabu vya nchi mbalimbali vikiwakilisha bendara za mataifa katika huta ya makundi ya mashindano ya UEFA EURO 2024. Sasa macho yote yanaelekezwa kwenye hatua ya mtoano ambapo timu 16 zilizobakia zitapambana kutafuta ubingwa. Timu hizi ni mabingwa wa makundi sita, washindi wa pili wa makundi sita, na timu nne bora zilizoshika nafasi ya tatu. Hatua ya 16 bora imeanza rasmi Jumamosi, Juni 29, na mechi mbili zimepanga kuchezeka kila siku kwa siku nne mfululizo.
Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora
Mechi ya 37: Juni 29 – Ujerumani vs Denmark (Dortmund)
- Matokeo: 2-0 (Ujerumani)
Mechi ya 38: Juni 29 – Uswisi vs Italia (Berlin)
- Matokeo: 2-0 (Uswisi)
Mechi ya 39: Juni 30 – Uhispania vs Georgia (Cologne)
- Matokeo: TBD
Mechi ya 40: Juni 30 – Uingereza vs Slovakia (Gelsenkirchen)
- Matokeo: TBD
Mechi ya 41: Julai 1 – Ureno vs Slovenia (Frankfurt)
- Matokeo: TBD
Mechi ya 42: Julai 1 – Ufaransa vs Ubelgiji (Dusseldorf)
- Matokeo: TBD
Mechi ya 43: Julai 2 – Romania vs Uholanzi (Munich)
- Matokeo: TBD
Mechi ya 44: Julai 2 – Austria vs Uturuki (Leipzig)
- Matokeo: TBD
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti