Msimamo Makundi ya EURO 2024

Msimamo Makundi ya EURO 2024 | Msimamo Wa Makundi Ya EURO 2024/2025: Michuano ya Mataifa EURO 2024 imeanza kwa kishindo kikubwa Ujerumani, timu za mataifa 24 zikichuana vikali kuwania taji la bingwa wa Ulaya kitaifa kuanzia Juni 14 hadi Julai 14. Wenyeji Ujerumani walianza vyema kwa kuichapa Scotland, wakijiandikia mwanzo mzuri katika safari yao ya kupambania ubingwa kwenye Kundi A. Spain nao walionyesha ubora wao kwa kuitandika Croatia katika mechi yao ya kwanza Kundi B.

Msimamo Makundi ya EURO 2024

Msimamo Makundi ya EURO 2024

Huu Apa Msimamo Wa Kundi A Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1Germany32108267
2Switzerland31205325
3Hungary310225-33
4Scotland301227-51

Huu Apa Msimamo Wa Kundi B Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1Spain33005059
2Italy31113304
3Croatia302136-32
4Albania301235-21

Huu Apa Msimamo Wa Kundi C Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1England31202115
2Denmark30302203
3Slovenia30302203
4Serbia302112-12

Huu Apa Msimamo Wa Kundi D Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1Austria32016426
2France31202115
3Netherlands31114404
4Poland301236-31

Huu Apa Msimamo Wa Kundi E Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1Romania31114314
2Belgium31112114
3Slovakia31113304
4Ukraine311124-24

Huu Apa Msimamo Wa Kundi F Euro 2024

#TimuMPWDLFADP
1Portugal32015326
2Türkiye32015506
3Georgia31114404
4Czechia301235-21

Mapendekezo Ya mhariri:

  1. Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026
  2. Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024
  3. Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2023/2024 PBZ Premier League Table
  4. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo