Msimamo wa Makundi CHAN 2025

Msimamo wa Makundi CHAN 2025

Michuano ya CHAN 2025 inaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali barani Afrika, ikiwa katika hatua ya makundi ambapo mataifa shiriki yanapambana vikali kuhakikisha yanapata nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Mashindano haya yamevutia hisia za mashabiki kutokana na ushindani mkali na matokeo yasiyotabirika, huku kila timu ikionesha dhamira ya kulitafuta taji la mwaka huu. Hali ya msimamo wa makundi inazidi kubadilika kadri michezo inavyoendelea, na tayari baadhi ya timu zimeanza kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu, huku nyingine zikikabiliwa na presha ya kupata matokeo chanya katika michezo iliyosalia.

Msimamo wa Makundi CHAN 2025
Msimamo wa Makundi CHAN 2025

Msimamo wa Kundi A CHAN 2025

Nafasi Taifa Mechi W D L GF GA GD Pointi
1 Kenya 3 2 1 0 3 1 2 7
2 Angola 3 1 1 1 3 4 -1 4
3 DR Congo 2 1 0 1 2 1 1 3
4 Morocco 2 1 0 1 2 1 1 3
5 Zambia 2 0 0 2 1 4 -3 0

Msimamo wa Kundi B CHAN 2025

Pos Timu P W D L GF GA GD Pts
1 Tanzania 3 3 0 0 5 1 4 9
2 Mauritania 3 1 1 1 1 1 0 4
3 Burkina Faso 2 1 0 1 4 4 0 3
4 Madagascar 2 0 1 1 1 2 -1 1
5 Afrika ya Kati 2 0 0 2 2 5 -3 0

Msimamo wa Kundi C CHAN 2025

Pos Timu P W D L GF GA GD Pts
1 Uganda 3 2 0 1 5 3 2 6
2 Algeria 2 1 1 0 4 1 3 4
3 Afrika Kusini 2 1 1 0 3 2 1 4
4 Guinea 3 1 0 2 2 5 -3 3
5 Niger 2 0 0 2 0 3 -3 0

Msimamo wa Kundi C CHAN 2025

Pos Timu P W D L GF GA GD Pts
1 Senegal 1 1 0 0 1 0 1 3
2 Congo 1 0 1 0 1 1 0 1
3 Sudan 1 0 1 0 1 1 0 1
4 Nigeria 1 0 0 1 0 1 -1 0
  • MP- Michezo Iliyochezwa (Match Played)
  • W- Ushindi (Winsi)
  • D- Sare (Draw)
  • L-Kufungwa (Lose)
  • GF- Magoli Ambayo Timu Imefunga (Goal For)
  • GA- Magoli Ambayo Timu Imefungwa (Goals Against)
  • GD- Tofauti Ya Magoli (Goal Difference)
  • PTS- Jumla Ya Alama (Points)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo Kundi la Tanzania CHAN 2024
  2. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2024/2025
  3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League
  4. Msimamo wa Makundi ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025
  5. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025
  6. Yanga Yashikilia Msimamo wa Kutocheza Dabi Licha Ya Majibu ya CAS
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo