Yanga Yafika Zanzibar Tayari kwa Mchezo Dhidi ya CBE
Kikosi cha Yanga kimeshafika Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya klabu ya CBE SA ya Ethiopia katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya jumamosi ya Septemba 21, 2024 katika uwanja wa Amani Stadium.
Hizi apa Picha za wachezaji wa Yanga wakiwasili Zanzibar tayari kwa ajili ya mchezo wa jumamosi.
Tayari Wachezaji wameanza Mazoezi ya mwisho kuelekea mechi ya klabu bingwa dhidi ya CBE SA.
Maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa #CAFCL dhidi ya CBE SA yameanza visiwani Zanzibar🔋💪🏾#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko pic.twitter.com/ZzLF9i9WsE
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) September 19, 2024
Mapendekezo ya Mhariri:
- NMB Yaungana na Yanga Kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika
- Gamondi Aweka Wazi Nia Yake ya Kutwaa Ubingwa wa Afrika
- Barcelona Yaanza UEFA Kwa Kichapo cha 2-1 Kutoka kwa Monaco
- Manchester City washindwa kutamba dhidi ya Inter
- Arsenal Yaambulia Pointi Moja Ugenini, Raya Aokoa Mkwaju wa Penalti
- Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
Weka Komenti