Kikosi cha Kengold 2024/2025 (Wachezaji wote wa KenGold FC)
Klabu ya Kengold FC kutoka Mbeya ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara 2023/2024 (NBC Championship) na sasa imepanda daraja na kua miongoni mwa washiriki wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Hapa chini tumekuletea orodha kamili wa wachezaji wote wanaounda Kikosi cha Kengold 2024/2025 (Wachezaji wote wa KenGold FC)
Makipa Kengold Fc
- Castor Muhagama
- Mussa Mussa
Mabeki wa Kengold Fc
- Asanga Stalon
- Amuken Lubinda
- Tungu Robert
- Steven Mganga
- Castor Costa
- Makenzi Kapinga
- Charles Masai
- Salum Iddrisa
- Bilal Amin
- Ambukise Mwaipopo
- Martin Kazila
Viungo KenGold FC
- Masoud Cabaye
- Hamad Nassoro
- Said Mandazi
- George Sangija
- Amir Njeru
Washambuliaji KenGold FC
- Adam Uled
- Emmanuel Mpuka
- Mshamu Daud
- James Msuva
- Salum Chobwedo
- Hija Ugando
- Poul Materazi
- Herbert Lukindo
- Kelvin Nurki
- Joshua Ibrahim
Benchi La Ufundi KenGold FC
- Fikiri Elias – Head Coach
- Luhaga Makunja – Asst Coach
- Jumanne Charles – Asst Coach
- Aswile Asukile – Goalkeeper Coach
- Nuhu Mkolekwa – Team Manager
- Stanley Ndimwene – Team Doctor
- Latifu Masesa – Kit Manager
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti