Kikosi Cha Mlandege vs Simba Leo 26/04/2026 Nusu Fainali Kombe la Muungano

Kikosi Cha Mlandege vs Simba Leo 26/04/2026 Nusu Fainali Kombe la Muungano

Mashindano ya Kombe la Muungano 2026 yanaendelea leo kwa mchezo wa nusu fainali ya pili utakaowakutanisha Mlandege ya Zanzibar dhidi ya Simba SC katika pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo unachezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 usiku, ukibeba nafasi muhimu ya kuamua timu itakayofuzu kwenda fainali.

Kikosi Cha Mlandege vs Simba Leo 26/04/2026

Kikosi Cha Kuanza (Starting XI)

Mlandege vs Simba – Kikosi Kilichotangazwa

  • 31 BARO
  • 28 HASHIM
  • 12 MBEKI (C)
  • 23 NONYEM
  • 21 OPONDO
  • 29 MAZNI
  • 20 MUSSA
  • 49 JAMAL
  • 9 OMARIY
  • 39 MAHMOUD
  • 14 KIVELEGE

Wachezaji wa Akiba (Subs): ALEX, HEMIL, MASOUD, CAHIL, JUSSA, ALI KHATIB, MATOLA, MACABO

Soma Pia: Kikosi cha Simba Vs Mlandege Leo 26/04/2026

Mlandege imefika hatua hii ikiwa ni timu pekee ya Zanzibar iliyofanikiwa kutinga nusu fainali, baada ya kuiondoa Singida Black Stars kwa mabao 2-1 kwenye robo fainali iliyochezwa Aprili 23, 2026.

Simba kwa upande wake ilitinga hatua hii kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo, na kujiweka kwenye nafasi ya kuwania taji la kwanza msimu huu. Timu nyingine za Zanzibar kama Muembe Makumbi City, KVZ na Mafunzo zilishindwa kufika hatua ya nusu fainali, hali inayoweka Mlandege kama mwakilishi pekee wa visiwani humo.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. matokeo ya Azam FC vs Yanga SC Leo 25/04/2026
  2. Ratiba ya Nusu Fainali Kombe la Muungano 2026
  3. Timu Zilizofuzu Nusu Fainali Kombe la Muungano 2026
  4. Vilabu Bora Afrika 2026/2027 (CAF Club Ranking)
  5. CAF Rankings 2026: Simba Yaporomoka, Yanga Yaendelea Kung’ara Afrika
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo