Ratiba ya Mechi za Simba NBC Premier League 2024/2025 | Ratiba ya Simba Ligi Kuu ya NBC 2024/25
Baada ya kuukosa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania kwa mismimu mitatu mfululizo, wekundu wa msimbazi Simba Sc wameuanza msimu wa mpya wa ligi wakiwa na matumaini makubwa ya kurejesha heshima yao katika ulimwengu wa soka la Tanzania. Nia hii imeonekana katika usajili uliofanyika ambapo nyota kutoka maeneo mbalimbali wamesajiliwa kuongeza nguvu katika kikosi cha Simba huku wachezaji kadhaa waliokuepo kikosini kuachiwa ili kupisha nafasi za wachezaji wapya.
Nyota kama Saido Ntibanzokiza, Luis Miquissone, Kennedy Juma na wengine wengi wamewapisha nyota wapya kikosini kama vile Ahoua Jean Charles, Steven Mukwala, Joshua Mutale, Abdulrazak Hamza, n.k.
Ratiba ya Mechi za Simba NBC Premier League 2024/2025
Hapa chini habariforum tumekuletea ratiba kamili ya mechi za Simba SC katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024/2025:
Agosti 2024:
- 18/08/24: Tabora United vs Simba
- 25/08/24: Simba vs Fountain Gate
Septemba 2024:
- 13/09/24: Al Ahli Tripoli vs Simba (Kombe la Shirikisho)
- 16/09/24: Azam vs Simba
- 20/09/24: Simba vs Al Ahli Tripoli (Kombe la Shirikisho)
- 22/09/24: Simba vs Namungo
Oktoba 2024:
- 04/10/24: Simba vs Coastal Union
- 19/10/24: Simba vs Young Africans
- 22/10/24: Tanzania Prisons vs Simba
Novemba 2024:
- 03/11/24: Mashujaa vs Simba
- 10/11/24: Simba vs KMC
- 21/11/24: Pamba Jiji vs Simba
Desemba 2024:
- 06/12/24: Singida Black Stars vs Simba
- 12/12/24: Simba vs KenGold
- 16/12/24: Kagera Sugar vs Simba
- 22/12/24: Tabora United vs Simba
Januari 2025:
- 04/01/25: Fountain Gate vs Simba
- 19/01/25: Simba vs Tanzania Prisons
- 26/01/25: Simba vs Dodoma Jiji
Februari 2025:
- 02/02/25: Namungo vs Simba
- 15/02/25: Simba vs Azam
- 24/02/25: Simba vs Coastal Union
Machi 2025:
- 01/03/25: Simba vs Young Africans
- 08/03/25: Simba vs Mashujaa
- 29/03/25: JKT Tanzania vs Simba
Aprili 2025:
- 13/04/25: KMC vs Simba
- 20/04/25: Simba vs Pamba Jiji
Mei 2025:
- 05/05/25: Simba vs Singida Black Stars
- 17/05/25: KenGold vs Simba
- 24/05/25: Simba vs Kagera Sugar
Simba SC inatarajia kufanya vizuri msimu huu na kurejea kwenye nafasi za juu katika ligi, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuona matunda ya usajili wao mpya na mbinu mpya za kocha wao.
Vidokezo Muhimu:
- Mechi dhidi ya wapinzani wa jadi, Young Africans, zitafanyika tarehe 19/10/2024 na 01/03/2025.
- Simba watacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya Tabora United tarehe 18/08/2024.
- Mashabiki wanashauriwa kuzingatia tarehe na muda wa mechi hizi kwa mipango ya kufuatilia matokeo ya timu yao.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
- Msimamo Ligi ya Mabingwa UEFA Champions 2024/2025
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
- Ratiba ya Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025
- Ratiba ya yanga Klabu Bingwa CAF 2024/2025
- Ratiba Ya Simba Kombe la Shirikisho CAF Confederation Cup 2024/2025
Nimeipenda ratiba ya mechi za Simba Kwa miezi ya September na October kwa sababu kwenye mechi zao za NBC Premier league hawatavuna hata alama moja!🤣🤣🤣🤣🤣