Viingilio Mechi ya Simba Vs Tabora United 17/08/2024
Klabu ya simba Sc itachuana vikali na Tabora united katika mchezo wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 ambao imeanza kutimua vumbi Agosti 16 ambapo Pamba Jiji wameanza kwa kutoa sare na Tanzania prison katika uwanja wa CCM kirumba jijini mwanza. Baada ya ufunguzi huo wa ligi mchezo unaofatia ni wa wekundu wa msimbazi Simba Sc ambao wanatarajia kuanza safari yao ya kukusanya pointi katika uwanja wa KMC Complex ambapo wataikaribisha Tabora United kutoka mkoa wa Tabora.
Hapa tumekuletea gharama za viingilio kwa mashabiki watakaopendelea kufuatilia mchezo huu moja kwa moja kutoka dimbani.
- Mzunguko 10,000/=
- VIP A 15,000/=
Mapendekezo ya Mhariri:
- Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba vs Tabora United
- Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Namungo Fc 2024/2025
- CECAFA: Mashabiki Wa Simba Queens Watarajie Burudani, Asema Mgunda
- Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
- KMC na Simba Wafikia Makubaliano ya Uhamisho wa Kiungo Awesu Awesu
- Cv ya Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya wa Simba 2024/2025
Weka Komenti