Washindi wa Tuzo za TFF 2023/2024 (TFF Awards Winners 2023/2024
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo wanatarajia kutangaza washindi wa tuzo mbalimbali za wanasoka na wadau wa mpira wa miguu. Hafla hii inafanyika leo Agosti 1, 2024, saa 2 usiku katika ukumbi wa The Sper Dome, Masaki, Dar es Salaam. Tukio hili linatarajiwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa soka nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na wachezaji, makocha, na viongozi wa vilabu.
Makundi ya Tuzo za TFF 2023/2024
Tuzo za TFF 2023/2024 zimegawanywa katika makundi makuu matano:
- Tuzo za Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB
- Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
- Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
- Tuzo za Utawala
Tuzo za Ligi nyingine
Mwaka huu, kumekuwa na ongezeko la tuzo tatu mpya ambazo hazikuwepo msimu uliopita. Miongoni mwa tuzo hizi mpya, mbili ni za kipekee ambazo hazijawahi kutolewa hapo awali, wakati tuzo moja iliwahi kutolewa lakini haikuwepo msimu uliopita.
- Tuzo Mpya za Msimu wa 2023/2024
- Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanaume)
- Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanamke)
- Mchezaji Bora wa Soka la Ufukweni
Washindi wa Tuzo za TFF 2023/2024
Hapa tutakuletea orodha kamili ya washindi wa Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa msimu wa 2023/2024. Orodha hii itasasishwa moja kwa moja kadri majina yanavyotangazwa kutoka kwenye hafla ya utoaji tuzo inayofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Kwa hivyo, endelea kufuatilia ukurasa huu kupata taarifa za washindi katika kila kipengele cha tuzo hizi.
Washindi Tuzo za TFF 2023/2024 Kombe La Shirikisho la CRDB
Mshindi Tuzo ya Mfungaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB
- Clement Mzize ๐น๐ฟ โ Yanga (Mshindi)
- Edward Songo- JKT Tanzania
Mshindi Tuzo ya Kipa Bora Kombe La Shirikisho la CRDB
- Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ โ Young Africans (Mshindi)
- Khomein Abubakar ๐น๐ฟ โ Ihefu Sc
- Mohamed Mustafa ๐ธ๐ฉ โ Azam Fc
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB
- Aziz KI ๐ง๐ซ โ Yanga
- Feisal Salum ๐น๐ฟ โ Azam Fc (Mshindi)
- Clement Mzize ๐น๐ฟ โ Yanga
- Ibrahim Bacca ๐น๐ฟ โ Yanga
- Kipre Junior ๐จ๐ฎ โ Azam Fc
Washindi Tuzo za TFF 2023/2024 Ligi Kuu Ya NBC Tanzania
Hapa tumekuletea orodha ya washindi tuzo hizi, ikiwemo mchezaji bora wa mwaka, kocha bora, na vipaji vingine vilivyojidhihirisha.
Mfungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC 2023/2024
- Stephan Aziz Ki
Mshindi tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu NBC 2023/24
- Miguel Gamondi ๐ฆ๐ท โ Young Africans (Mshindi)
- Bruno Ferry ๐ซ๐ท โ Azam Fc
- David Ouma ๐ฐ๐ช โ Coastal Union
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/24
- Aziz KI ๐ง๐ซ โ Yanga (Mshindi)
- Feisal Salum ๐น๐ฟ โ Azam
- Kipre Junior ๐จ๐ฎ โ Azam
- Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ โ Yanga
- Ley Matampi ๐จ๐ฉ โ Coastal
- Attohoula Yao ๐จ๐ฎ โ Yanga
- Ibrahim Bacca ๐น๐ฟ โ Yanga
- Mohamed Hussein ๐น๐ฟ โ Simba
Mshindi tuzo ya Beki Bora Ligi Kuu NBC 2023/24
- Attohoula Yao ๐จ๐ฎ โ Young Africans
- Ibrahim Bacca ๐น๐ฟ โ Young Africans (Mshindi)
- Mohamed Hussein ๐น๐ฟ โ Simba Sc
Mshindi tuzo ya Golikipa Bora Ligi Kuu NBCย 2023/24
- Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ โ Young Africans
- Ley Matampi ๐จ๐ฉ โ Coastal Union (Mshindi)
- Ayoub Lakred ๐ฒ๐ฆ โ Simba Sc
Mshindi tuzo ya Kiungo bora Ligi Kuu NBCย 2023/24
- Feisal Salum ๐น๐ฟ โ Azam Fc
- Aziz KI ๐ง๐ซ โ Yanga Sc (Mshindi)
- Kipre Junior ๐จ๐ฎ โ Azam Fc
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya NBC
- Semfuko Charles Coastal
- Shomary Raheem Kmc (Mshindi)
- Costantine Malimigeita
Washindi Tuzo ya Seti Bora Ya Waamuzi Ligi Kuu Ya NBC
- Simba Sc 1-5 Young Africans; Ref-Ahmed Arajiga Asst-Mohamed Mkono Asst-Kassim Mpanga 4th -Ramadhan Kayoko
- Simba Sc 1 -2 Prisons; Ref- Nassoro Mwinchui Asst.Makame Mdogo Asst -Neeata Mwambashi 4th -Selemani Kinugani
- Azam Fc 2 โ 1 Young Africans; Ref-Hery Sasii Asst-Frank Komba Asst-Kassim Mpanga 4th -Isihaka Mwalile
- Azam Fc 0 โ 0 Mashujaa; Ref-Katanga Hussein Asst4-Iamdan Said Asst-Martin Mwalyaje 4th -Ramadhan Kayoko
- Jkt 0-0 Young Africans; Ref-Herry 54511 Asst-Omari Kambangwa Asst-Zawadi Yusuph 4th -Isihaka Mwalile
- Simba Sc 0-2 Young Africans; Ref -Ahmed Arajiga Manyara Asst- Mohamed. Mkono-Tanga Asst- Kassim Mpang โ Dsm 4โณ โ Tatu Malogo Tanga
Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24
- Frank Komba
- Mohammed Mkono (Mshindi)
- Kassim Mpanga
- Janeth Balama
- Zawadi Yusuph
Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24
- Tatu Malogo
- Ahmed Arajiga (Mshindi)
- Abdallah Mwinyimkuu
- Amina Kyando
- Hery Sasii
- Saad Mrope
Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24
- Ihefu
- Kagera Sugar
- Mtibwa Sugar (Mshindi)
Mshindi Tuzo ya Meneja Bora
- Amir Juma Azam Complex
- Nasser Makau Mkwakwani
- Shaaban Raiabu Lake Tanganyika
Mshindi Tuzo ya Kamishina Bora
- Martin Kibua-Tanga
- Zena Chande-Dar es Salaam
- Hamis Kitila-Singida (Mshindi)
- Sadick Jumbe-Mbeya
- Abousufian
Tuzo Za Ligi Nyingine
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Nbc Championship
- Boban Bogere Biashara Utd
- Casto Mhagama- Kengold Fc
- Edgar William Kengold Fc
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora First League
- Mohamed Bakari- African Sports
- Ayoub Masudi- African Sports (Mshindi)
- Ahmad Ndondi- Malimao
Mchezaji Bora Beach Soccer
- Jaruph Rajabu Juma-Friends Of Mkwajuni 2 (Mshindi)
- Yahya Tumbo-Vingunguti Kwanza
- Abdillah Mohammed-Rata Fc
Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Me)
- Mbwana Samatta (Mshindi)
- Novatus Dismas
- Himid Mao
Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Ke)
- Clara Luvanga
- Aisha Masaka (Mshindi)
- Oppah Clement
Washindi Tuzo za Mpira wa Miguu TFF Ligi Kuu Ya Wanawake
Mfungaji Bofta Ligi Kuu Ya Wanawake
- Aisha Mnuka-Simba Queens (Mshindi)
Mshindi Tuzo ya Kipa Bora Ligi Kuu Ya Wanawake
- Najath Abbas-Jkt Queens
- Caroline Rufaa-Simba Queens (Mshindi)
- Mariam Shaaban-Bunda Queens
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu Ya Wanawake
- Aisha Mnuka-Simba Queens (Mshindi)
- Stumai Abdallah- Jkt Queens
- Kaecla Wilson-Yanga Princess
- Violath Nicholaus- Simba Queens
- Vivian Corazone- Simba Queens
Mshindi Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu Ya Wanawake
- Juma Mgunda-Simba Queens (Mshindi)
- Esther Chabruma- Jkt Queens
- Noah Kanyoga-Ceasiaa Queens
Mshindi Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya Wanawake
- Esther Maseke-Bunda Queens (Mshindi)
- Lyidia Kabambo-Jkt Queens
- Bituro Mgosi-Bunda Queens
Mshindi Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake
- Sikudhan Mkurungwa
- Glory Tesha
- Zawadi Yusuph (Mshindi)
- Monica Wazael
- Getruda Gervas
Mshindi Tuzo ya Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake
- Amina Kyando (Mshindi)
- Tatu Malogo
- Anitha Kisoma
- Esther Adalbert
Mshindi Tuzo ya Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya Wanawake
- Bunda Queens (Mshindi)
- Simba Queens
- Amani Queens
Angalia Hapa Picha za Matukio Kutoka Kwenye Hafla ya Kutangaza Washindi wa Tuzo za TFF
TUZO ZA TFF | โโฆtunafunga rasmi msimu wa 2023/24โ
CEO wa bodi ya ligi anazungumza wakati akiwasili eneo la tukioโฆ.Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD#TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #Gamondi pic.twitter.com/wbnjojVhRT
โ Azam TV (@azamtvtz) August 1, 2024
Mapendekezo ya Mhariri:
hongeleni tff kwa tuzo zenu ama kwa hakika shelehe zenu zilifanana sana tunachoomba katika ligi hii ijayo mjitahidi kuibolesha ligi yetu hasa mkikumuka kamba ligi hii ni yatano balani afrika tunachokiomba muwahi kuondoa kasolo ndogondogo kama vile yaliyajitokeza kwenye mechi ya kwanza ya tabora united na azamfc maana yangu matatizo yanayojitokeza kwenye usajili yashughulikiwe mapema swala lingine tujalibu kuangalia baadhi ya magoli yanayo kataliwa na waamuzi mfano wa goli la simba dhidi ya tabora united kwa mtazamo lile lilikua ni goli halali na nikweli muamuzi alipewa adhabu je timu inanufaika na nini maana yangu tff kukubali kumfungia muamuzi ni kukubali kuna kosa lilifanyika . swala jingine tff tunaiomba iwe makini na uhamishaji wa mechi kwani ilitukosesha mechi ya yanga na tabora united