Kikosi cha Timu ya Taifa U20 Kitakachoingia Kambini Agosti 5, 2024

Kikosi cha Timu ya Taifa U20 kitakachoingia kambini Agost 5, 2024

Kikosi cha Timu ya Taifa ya U20, maarufu kama Ngorongoro Heroes, kinatarajiwa kuingia kambini kuanzia tarehe 5 Agosti, 2024. Kambi hii itafanyika katika Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichopo Mnyanjani, Tanga.

Maandalizi ya kambi hii yanalenga kuimarisha kikosi kwa ajili ya mashindano mbalimbali ya kimataifa yanayokuja. Wachezaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika kambini mapema ili kuanza mazoezi na mafunzo maalum chini ya uangalizi wa benchi la ufundi.

Hawa Apa Wachezaji wanaounda Kikosi cha Timu ya Taifa U20 Kitakachoingia Kambini Agosti 5, 2024

SnJina La MchezajiTimu Anayochezea
1Mohamed AliMlandege
2Saeed MohammedMlandege
3Jammy SimbaJKU
4John EliwediKagera Sugar
5Mbarouk NassorZanzibar
6Hamad UbwaZanzibar
7Kelvin KombaKMC FC
8Willyson ChigomboYoung Africans
9Saeed SalimZanzibar
10Vedastus MasindeBiashara
11Daruweshi RashidySimba SC (KVZ)
12Sabri Dahal
13Shomari MponziKagera Sugar
14Shomari MkinyagiKMC FC
15Samuel ShillaGremio Utah, USA
16Ismail MpankKMC FC
17Nickson MoshaMtibwa Sugar
18Okech NyembeSimba SC
19Peter RweshabulaSimba SC
20Aweso KassimYoung Africans
21Hamis NangukaYoung Africans
22Ashraf KibekuAzam FC
23Ally MohamedAzam FC
24Omary MwinyimvuaDodoma Jiji
25Ismail OmaryAzam FC
26Nicodemus NtaremaGeita Gold
27Arafat AbubakarMalindi
28Dickson BinamunguKagera Sugar
29Nashon UpondoAzam FC
30Fales MkudeAzam FC
31Omary HassanMtibwa Sugar
32Khamis AdamPamba Jiji
33Mohamed HassanMalimao FC
34Arnold ManyonziTZ Prisons
35Wilson Edwin NanguTMA
36Aziz MohamedSingida FG
37Yunus LemaMbuni FC
38Mohamed OmaryJKU FC
39Bryan Gerald
40Daud AthumaniAzam FC
41Abdulkarim KassimAzam FC
42Pacas WaganaBiashara United
43Ahmed PipinoMalimao FC

Kikosi cha Timu ya Taifa U20 Kitakachoingia Kambini Agosti 5, 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Jezi Mpya Za Azam Fc 2024/2025
  2. Kikosi Cha Simba Vs Al Adalah FC Leo (29/07/2024)- Mechi ya Kirafiki
  3. Kikosi Cha Yanga Vs Kaizer Chiefs 28 July 2024 – Toyota Cup
  4. Kikosi cha Simba Vs Telecom Egypt leo 28/07/2024 – Mechi ya Kirafiki
  5. Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo