JKT Tanzania VS Coastal Union Leo 25/09/2024 Saa Ngapi?
JKT Tanzania leo itawakalibisha Coastal union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaochezwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo majira ya saa 8 kamili Mchana. Pia mchezo huu utarushwa mubashara kupitia kisimbuzi cha Azam Tv.
Huu ni mchezo ambao utakuwa na uzito mkubwa kwa timu zote mbili. Ushindi kwa yeyote kati ya timu hizo utarejesha morali na kuleta matumaini mapya. JKT Tanzania itatumia nyumbani kama faida, huku Coastal Union ikijaribu kurejesha hadhi yao baada ya matokeo mabaya ya awali.
Wapenzi wa soka wanatarajia kuona mchezo wenye ushindani na mbinu bora kutoka kwa makocha na wachezaji. Ni fursa kwa kila timu kuonyesha uwezo wao na kuvunja rekodi mbaya za awali.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Kengold Wakijichanganya Tunawapiga Nyingi, Gamondi Atoa Onyo
- Azam FC Kwenye Mtihani Mzito Zanzibar Dhidi ya Simba
- Takwimu za Chama Yanga zaanza kutisha Klabu Bingwa
- Hizi Ndio Timu 5 Ambazo Bado Hazijashinda Mechi yoyote Ligi Kuu
- Aziz KI Afichua Kilichomo Kwenye Mkataba Wake na Yanga
- Ratiba ya Mechi ya Leo 25 September 2024
- Kengold Vs Yanga Leo 25/09/2024 Saa Ngapi
- Timu Zilizofuzu Makundi CAF 2024/2025
- Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
Weka Komenti