Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Pamba jiji 03/10/2024
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wanatarajiwa kuingia dimbani siku ya Alhamisi, tarehe 3 Oktoba 2024, kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji. Mechi hii itatimua vumbi katika Uwanja wa Azam Complex Chamanzi, ikianza majira ya saa 12:30 jioni. Kama wewe ni shabiki wa Yanga SC, hakika utakuwa na hamu kubwa ya kushuhudia mchezo huu, ambao unatarajiwa kuwa wa kipekee na wenye ushindani mkali. Katika makala haya, tumekuletea orodha ya vituo vinavyo uza tiketi za mchezo huu.
Hivi apa vituo vinavyo uza tiketi za kuangalia mchezo wa Yanga Vs Pamba jiji
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Godwin Fredy – Geita
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakiem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti