Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024 | Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatatu ya Agosti 19 2024
Habari za michezo, wapenzi wa soka! Jumatatu hii inaanza kwa kishindo na mechi kibao zenye mvuto na ushindani wa aina yake kutoka ligi mbalimbali duniani. Ingawa Ligi Kuu ya NBC Tanzania inapumzika leo, macho yetu yanaelekezwa kwenye viwanja vya Ulaya na kwingineko kwa burudani ya soka isiyokwisha. Wazee wa mikeka, jiandaeni!
Ligi Kuu ya EPL English Premier League
- Leicester City vs Tottenham Hotspur – Saa 22:00 EAT
National League N/S (South)
- Aveley vs Hemel Hempstead Town – Saa 21:45 EAT
- Chelmsford City vs Tonbridge Angels – Saa 21:45 EAT
English FA Cup (Preliminary Round Replays)
- Melksham Town vs Shaftesbury Town – Saa 21:45 EAT
Spanish La Liga
- Real Valladolid vs Espanyol – Saa 21:00 EAT
- Villarreal vs Atlético Madrid – Saa 23:30 EAT
German DFB Pokal (1st Round)
- Energie Cottbus vs Werder Bremen – Saa 20:00 EAT
- Kickers Offenbach vs Magdeburg – Saa 20:00 EAT
- Koblenz vs Wolfsburg – Saa 20:00 EAT
- Eintracht Braunschweig vs Eintracht Frankfurt – Saa 21:45 EAT
Italian Serie A
- Lecce vs Atalanta – Saa 20:30 EAT
- Juventus vs Como – Saa 21:45 EAT
Danish Superligaen
- AGF vs Vejle – Saa 21:00 EAT
Greek Super League
- Panaitolikos vs Lamia – Saa 22:00 EAT
Polish Ekstraklasa
- Stal Mielec vs Piast Gliwice – Saa 21:00 EAT
Portuguese Primeira Liga
- Estrela vs Famalicão – Saa 23:15 EAT
Turkish Super Lig
- Eyüpspor vs Bodrum FK – Saa 22:00 EAT
- Hatayspor vs Kasımpaşa – Saa 22:00 EAT
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti