Idadi Ya Magoli ya Ronaldo Al Nassr 2023/2024 | Takwimu Za Cristiano Ronaldo 2023/2024
Cristiano Ronaldo, ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae haitaji utambulisho wowote kwenye macha ya shabiki yeyote soka dunia. Nyota huyu wa Ureno na Al Nassr ya Saudi Arabia, anaendelea kuonyesha kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League) msimu wa 2023/24 licha ya kuwa na umri wa miaka 39.
Mara baada ya kujiunga na kikposi cha Al Nassr mwanzoni mwa mwaka 2023, Ronaldo amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi hicho, jambo ambalo kila shabiki wa soka alikua anatarajia kutokana na kipaji chake kikubwa, akifunga mabao muhimu na kuvutia mashabiki wengi duniani kote kunza kufuatili soka la Saudi Arabia.
Tangu Kusajiliwa kwake, Ronaldo ameonyesha nia yake ya endeleza kuweka rekodi mpya katika Saudi Pro League. Katika mechi zake za mwanzo, alifunga hat-trick, na kuonyesha uwezo wake wa kuendelea kuwa mmoja wa wafungaji bora duniani.
Mashabiki wa soka duniani kote wanatarajia kwa hamu kuona kama Ronaldo ataweza kuweka rekodi mpya ya mabao katika ligi hiyo na kuisaidia Al Nassr kutwaa mataji msimu huu.
Idadi Ya Magoli ya Ronaldo Al Nassr 2023/2024: Takwimu Muhimu
- Jumla ya Magoli: Hadi sasa, Ronaldo amefunga mabao 41 katika mechi 40 alizoichezea Al Nassr katika mashindano yote msimu wa 2023/24.
- Saudi Pro League: Katika ligi pekee, amefunga mabao 32 katika mechi 27.
- Ligi ya Mabingwa ya AFC: Amefunga mabao 6 katika mechi nane.
- Kombe la Mfalme: Amefunga bao moja.
Mashindano | Magoli | Asisti | Mechi |
Saudi Pro League | 32 | 10 | 27 |
AFC Champions League | 6 | 1 | 8 |
AFC Champions League Qual. | 0 | 1 | 1 |
King Cup | 3 | 0 | 3 |
Saudi Super Cup | 0 | 0 | 1 |
TOTAL | 41 | 12 | 40 |
Takwimu Za Cristiano Ronaldo 2023/2024
Siku Ya mechi | Mashindano | Dhidi Ya | Magoli Ya Ronaldo | Matokeo |
Aug. 25 | Saudi Pro League | Al Fateh | 3 (38′, 55′, 90+6′) | W 5-0 |
Aug. 29 | Saudi Pro League | Al Shabab | 2 (12′ p, 40′ p) | W 4-0 |
Sep. 2 | Saudi Pro League | Al Hazem | 1 (68′) | W 5-1 |
Sep. 16 | Saudi Pro League | Al Raed | 1 (78′) | W 3-1 |
Sep. 22 | Saudi Pro League | Al Ahli | 2 (4′, 52′) | W 3-2 |
Sep. 29 | Saudi Pro League | Al Ta’ee | 1 (87′ p) | W 2-1 |
Oct. 2 | AFC Champions League | Istiklol | 1 (66′) | W 3-1 |
Oct. 21 | Saudi Pro League | Damac | 1 (56′) | W 2-1 |
Oct. 24 | AFC Champions League | Al Duhail | 2 (61′, 81′) | W 4-3 |
Round of 16 | (AET) | |||
Nov. 4 | Saudi Pro League | Al Khaleej | 1 (26′) | W 2-0 |
Nov. 11 | Saudi Pro League | Al Wehda | 1 (49′) | W 3-1 |
Nov. 24 | Saudi Pro League | Al Akhdoud | 2 (76′, 80′) | W 3-0 |
Dec. 8 | Saudi Pro League | Al Riyadh | 1 (31′) | W 4-1 |
Dec. 11 | Saudi Kings Cup | Al Shabab | 1 (74′) | W 5-2 |
Quarterfinal | ||||
Dec. 22 | Saudi Pro League | Al Ettifaq | 1 (73′, p) | W 3-1 |
Dec. 26 | Saudi Pro League | Al Ittihad | 2 (19′ p, 68′ p) | W 5-2 |
Dec. 30 | Saudi Pro League | Al Taawoun | 1 (90+2′) | W 4-1 |
Feb. 14 | AFC Champions League | Al Feiha | 1 (81′) | W 1-0 |
Feb. 17 | Saudi Pro League | Al Fateh | 1 (17′) | W 2-1 |
Feb. 21 | AFC Champions League | Al Feiha | 1 (86′) | W 2-0 |
Feb. 25 | Saudi Pro League | Al Shabab | 1 (21′ p) | W 3-2 |
Mar. 11 | AFC Champions League | Al Ain | 1 (118′ p) | W 4-3 (lost on pens) |
Mar. 15 | Saudi Pro League | Al Ahli | 1 (68′ p) | W 1-0 |
Mar. 30 | Saudi Pro League | Al Tai | 3 (64′, 67′, 87′) | W 5-1 |
Apr. 2 | Saudi Pro League | Abha | 3 (11′, 22′, 44′) | W 8-0 |
May 1 | Kings Cup | Al Khaleej | 2 (17′, 57′) | W 3-1 |
4-May | Saudi Pro League | Al Wehda | 3 (5′, 12′, 52′) | W 6-0 |
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Mvua Yafichua Ubovu wa Old Trafford: Video ya Kuvuja Maji Yatisha Mashabiki
- Yanga SC Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania 2023/24: Ushindi wa Mara ya 30 Kihistoria
- Mbappe Akubali Punguzo Kubwa la Mshahara Ili Kujiunga na Real Madrid
- Idadi ya Makombe ya Arsenal: Makombe ya Ligi Ya EPL, FA, na Zaidi
- Hizi Apa Takwimu za Stephane Aziz Ki na Feisal Salum 2023/2024
Weka Komenti