Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025 | Bei ya Jezi Mpya za Yanga Sc 204/2025 | Muonekano & Picha za Jezi Mpya Yanga
Wakati usajili wa wachezaji watakaoongeza nguvu katika kikosi cha Yanga Msimu wa 2024/2024 kuendelea kufanyika, Klabu ya Yanga inakalibia kutangaza jezi mpya ambazo watavaa msimu wa 2024/2025. Uzinduzi huu wa jezi za mabingwa wa ligi kuu Tanzania na kombe la shirikisho unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Yanga pamoja na wafanyabiashara nchini Tanzania.
Mashabiki wa Yanga Sc wamekuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kuona jinsi jezi hizi zitakavyoonekana, zikiwa ni ishara ya matumaini mapya na ari ya ushindi kwa timu yao pendwa katika msimu mpya wa 2024-2025. Wafanyabiashara nao wanasubili uzinduzi wa jezi za Yanga kwa hamu kubwa sababu kwao ni fursa kubwa ya kibiashara, wakitarajia kuuza kwa wingi na kuongeza mapato yao.
Hizi Apa Picha Za Jezi Mpya Ya Yanga Sc 2024/2025
Muonekano wa Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025
Ingawa taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa Yanga Sc bado hazijatolewa, uvumi unaenezwa sana kuhusu muonekano wa jezi hizi mpya. Kuna tetesi kuwa jezi za nyumbani zitakuwa na rangi ya kijani na njano, zikiwa na michoro ya kisasa inayowakilisha historia na utamaduni wa klabu. Jezi za ugenini, kwa upande mwingine, zinatajwa kuwa na rangi nyeupe na michoro ya kipekee.
Jezi ya Yanga Ya Nyumbani 2024/2025
Jezi ya Yanga Ya Ugenini 2024/2025
Bei ya Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibisha rasmi kua jezi mpya za Yanga zitapatikana kwa bei ya Tsh 32,000 kwa kila moja.
Wafanyabiashara wa jumla na matawi ya Young Africans SC wanaweza kuwasiliana na klabu kupitia namba za simu 0745 000 000 au 0780 900 400 kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuagiza jezi ya msimu mpya sasa. Kuna uwezekano mkubwa kuwa jezi hizi zitapatikana pia katika maduka makubwa ya michezo nchini kote mara tu baada ya kutangazwa.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Chama Kuvaa Jezi Namba 17 Yanga Msimu Ujao
- Ifahamu Timu ya Vital’O Mpinzani wa Yanga CAF Champions league
- Yanga Yatangaza Kumsajili Duke Abuya
- Timu Iliyopangwa na Yanga Klabu Bingwa CAF 2024/2025
- Stephane Aziz Ki Asaini Mkataba Mpya na Yanga SC
- Mshahara Wa Stephane Aziz Ki Yanga 2024/2025
- Yanga Yamsajili Rasmi Aziz Andabwile: Mkataba wa Miaka miwili, Kiungo Mpya Jangwani
- Wachezaji Wapya Yanga | Wachezaji Waliosajiliwa Yanga 2024/2025
- Cv YA Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025
Weka Komenti