Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026 | Msimamo wa Kundi E Kufuzu kombe la dunia 2026 | Safari ya Taifa Stars Kuelekea Kombe la Dunia 2026 | Kundi la Taifa star Kufuzu Kombe la Dunia
Ndoto ya Tanzania kushiriki Kombe la Dunia 2026 imezidi kupamba moto baada ya droo ya kufuzu kuwapanga katika Kundi E lenye ushindani mkali. Kundi hili, linalojumuisha vigogo kama Morocco, Zambia, na Congo, limepewa jina la utani “Kundi la Kifo.” Je, Taifa Stars inaweza kushinda changamoto hizi na kuandika historia mpya ya soka nchini?
Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026
Nafasi | Timu | Mechi | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
1 | Morocco | 3 | 3 | 0 | 0 | 10 | 1 | 9 | 9 |
2 | Tanzania | 3 | 2 | 0 | 1 | 2 | 2 | 0 | 6 |
3 | Niger | 2 | 1 | 0 | 1 | 2 | 2 | 0 | 3 |
4 | Zambia | 4 | 1 | 0 | 3 | 6 | 7 | −1 | 3 |
5 | Congo | 2 | 0 | 0 | 2 | 2 | 10 | −8 | 0 |
6 | Eritrea[b] | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
Editor’s Picks:
Weka Komenti