Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024

Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024 | Msimamo ligi daraja la kwanza

Msimu wa 2023/2024 wa Ligi ya Championship, au EFL Championship, umetoa msisimko wa hali ya juu, matokeo ya dakika za mwisho, na mbio za kusisimua kuelekea kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Huku vumbi likitulia, Leicester City wameibuka washindi, wakijihakikishia kurejea kwenye ligi ya juu kama mabingwa. Ipswich Town walipigana vikali kwa ajili ya kupanda daraja moja kwa moja, na kukosa nafasi ya juu kwa pointi chache, huku Leeds United wakiimarisha nafasi yao katika nafasi muhimu za mchujo (playoff).

Kama wewe ni mshabiki wa mpira wa Uingereza na ungependa kujua msimamo wa ligi daraja la kwanza 2023/2024 basi umefika mahali sahihi. Katika chapiosho hili tumekuletea Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024 ambapo Leicester City wametawazwa mabingwa wakiwa na pointi 97 katika mechi 46 wakifuatiwa na Ipswich Town wenye pointi 96 na Leeds United wakiwa na pointi 90.

Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024

Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024

#TeamPlWDLFAGDPts
1Leicester City463141189414897
2Ipswich Town462812692573596
3Leeds United462791081433890
4Southampton462691187632487
5West Bromwich Albion4621121370472375
6Norwich City4621101579641573
7Hull City461913146860870
8Middlesbrough46209177162969
9Coventry City4617131670591164
10Preston North End46189195667-1163
11Bristol City461711185351262
12Cardiff City46195225370-1762
13Millwall461611194555-1059
14Swansea City461512195965-657
15Watford461317166161056
16Sunderland46168225254-256
17Stoke City461511204960-1156
18Queens Park Rangers461511204758-1156
19Blackburn Rovers461411216074-1453
20Sheffield Wednesday46158234468-2453
21Plymouth Argyle461312215970-1151
22Birmingham City461311225065-1550
23Huddersfield Town46918194877-2945
24Rotherham United46512293789-5227

Mapendekezo ya Mhariri:

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo