Kengold Fc Vs Singida Black Stars Leo 18/08/2024 | Vikosi & Matokeo ya Kengold Fc Vs Singida Black Stars Leo Ligi Kuu
Michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti tofauti, na leo mashabiki wa soka Tanzania watashuhudia mtanange mkali kati ya Kengold Fc na Singida Black Stars. Mechi hii inatarajiwa kuwa yenye mvuto wa kipekee, hasa kwa kuzingatia historia ya michezo kati ya timu hizi mbili.
Taarifa kuhusu Mechi
- 🏆 #NBC Tanzania Premier League
- Kengold Fc Vs Singida Black Stars
- 📆 18.08.2024
- 🏟 Uwanja wa Sokoine Mbeya
- 🕖 Saa nane Kamili mchana
Mechi hii ya KenGold dhidi ya Singida Black Stars itachezwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya kuanzia saa 08:00 jioni. Ni mechi ya ukaribisho kwa KenGold ambayo ndio inashiriki Ligi Kuu kwa mara ya kwanza tofauti na Singida Black Stars ambayo huu ni msimu wake wa tatu. Hata hivyo, katika misimu miwili ambayo timu hiyo ilishiriki, ilikuwa ikijulikana kama Ihefu hivyo huu ni msimu wa kwanza ikicheza Ligi Kuu kwa kutumia jina la Singida BS. Ni mechi inayotarajiwa kuwa na msisimko kutokana Singida inayonolewa na kocha Patrick Aussems mwenye uzoefu wa ligi hiyo, huku ikiundwa na mastaa wa ndani na nje ya nchi wenye majina makubwa, tofauti na KenGold.
Matokeo ya Kengold Fc Vs Singida Black Stars Leo Ligi Kuu
Kengold Fc | 1-3 | Singida Black Stars |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti